Elimu Jumla – Kipindi 9 – Magurudumu ya Gari07.04.20117 Aprili 2011Katika kipindi hiki tutajibu maswali ambayo hakuna mtu anayeyauliza kwani kila mtu anadhani kwamba anafahamu majibu…mpaka anapoulizwa. "Kwa nini magurudumu ya gari daima ni meusi?" Ndilo swali letu katika kipindi hiki.Nakili kiunganishiMatangazo