1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
MafunzoAfrika

Elimu ya Kidijitali: Kisasi cha Mlaghai

8 Julai 2024

Baada ya kukatishwa tamaa katika mapenzi, Jennifer anaangukia mikononi mwa mlaghai. Nani anahusika na mashambulizi ya mtandaoni? Rahim anachukua jukumu la kufichua ukweli.

Digital Natives | A scammers vendetta | Kisuaheli

Wakati huo huo, Faith anaibiwa simu yake na kurudishiwa. Lakini hatari kubwa zaidi inamuandama, wakati ambapo mlaghai anadukua akaunti yake ya benki.

Hatimaye Rahim anagundua utambulisho wa mlaghai. Hadithi ya "Kisasi cha Mlaghai" inavumbua maovu yanayofanyika nyuma ya ulimwengu wa kidijitali, na kuangazia umuhimu wa usalama mtandaoni na uhusiano mkubwa uliopo kati ya wanafamilia.

Jiunge na safari yao kupitia Inzuna, huku wakikabiliana na vivuli vinavyojificha katika maisha yao ya kidijitali.

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi

Onesha taarifa zaidi
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW