1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
MafunzoAfrika

Elimu ya Kidijitali: Kuubadilisha Uongo Kuwa Kweli

8 Julai 2024

Binamu watatu, wote wakiwa na itikadi tofauti kisiasa, wanakumbana na msuguano wakati kampeni za uchaguzi zikiendelea kwenye mji wa Inzuna.

Digital Natives | Synthetic Reality | Kisuaheli

Hali inabadilika pakubwa baada ya video inayoeleza kuwa mwanasiasa mmoja amemuua mwenzake kusambaa. Kutokana na utaalamu wake wa kidijitali, Rahim anabaini ulaghai na anafichua kuwa video hiyo ni ya uwongo.

Katikati ya machafuko, binamu hawa wanaungana huku wakifichua ukweli. Ungana na Jennifer, Rahim, na Faith katika hadithi ya kusisimua ya fitna za kidijitali na uaminifu wa familia.

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW