1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
MafunzoAfrika

Elimu ya Kidijitali: Panda Shuka-Mabadiliko ya Afya na Tija

8 Julai 2024

Faith, ambaye kwa kawaida ni mwalimu anayeipenda kazi yake, anashtushwa na uraibu wake wa matumizi ya simu za kisasa, baada ya kupewa onyo kali na mkuu wa shule.

Digital Natives | On And Off | Kisuaheli

Rahim, ambaye anajificha kwa kucheza mchezo wa bao, anajitosa kwenye ulimwengu halisi, na kukutana na rafiki zake wa mtandaoni, na hivyo kusababisha matukio yasiyotarajiwa. Jenifer, ambaye anatambua kuwa anaishi Maisha ya uwongo kama mtu mwenye ushawishi mitandaoni, anaamua kukubali uhalisia, na kuirejesha furaha yake.

"Panda Shuka: Mabadiliko ya Afya Yenye Tija" ni mchezo wa kuigiza ambao unachunguza na kufuatilia matukio halisi na mapambano ya uhusiano wenye tija na mitandao ya kijamii kabla ya kuhatarisha maisha yao halisi. Ungana na binamu watatu kwenye safari ya kuvutia ya kujitambua na kuamka tena.

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW