JamiiAfrikaElimu ya kiufundi kwa watoto wenye ulemavu02:40This browser does not support the video element.JamiiAfrika31.01.202231 Januari 2022Wakati shule nchini Uganda zikianza tena kuwakaribisha wanafunzi baada ya kufungwa kutokana na janga la Covid-19, wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wameanza kutoa elimu ya kiufundi kwa watoto wenye ulemavu wa kutosikia.Nakili kiunganishiMatangazo