1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Embugo: vazi lililobeba thamani ya kifalme Uganda

03:29

This browser does not support the video element.

21 Aprili 2022

Vazi lilitumiwa na watawala wakiwemo wafalme na Malkia kabla ya ujio wa nguo za kisasa, lilitumika kwenye mazishi na hata matambiko ya jadi, historia yake pamoja na ujio wa utatandawazi umelifanya vazi hilo kutopewa thamani katika kizazi cha sasa. ili kurejesha thamani yake wanafunzi hufundishwa kutengeneza vitu mbalimbali kutokana na vazi hilo athim.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW