1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

ENDINBURGH : Maelfu waandamana kudai misaada zaidi kupambana na umaskini

3 Julai 2005

Kwa kwenda sambamba na maonyesho hayo ya muziki ya Live 8 waandamanaji 225,000 waliovalia nguo nyeupe wameandamana kwenye mji wa Edinburgh huko Scotland wakidai viongozi wa mataifa ya kitajiri waongeze misaada kupambana na umaskini duniani.

Waandamanaji hao wanazitaka nchi za kundi la mataifa manane yenye maendeleo ya viwanda katika mkutano wao wa viongozi wiki ijayo kuongeza maradufu msaada hadi kufikia bilioni 50 kwa mwaka,kusamehe madeni na kufuta vikwazo vya biashara.

Wanasema watoto 30,000 wanakufa kila siku kutokana na umaskini uliokithiri.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW