England kucheza na DR Kongo katika kombe la Dunia
1 Julai 2026
Matangazo
The Three Lions wanalenga kufikisha mwisho ukame wa miaka 60 wa kusubiri kushinda kombe kubwa, lakini kocha wao Thomas Tuchel amewaonya wachezaji wake kwamba wanakabiliana na timu ambayo haina cha kupoteza huko Atlanta.
Katika mechi nyingine Ubelgiji itacheza na Senegal, huku kipa wa Senegal Édouard Mendy akikosekana kutokana na jeraha.
Wenyeji wenza Marekani wanajiandaa kwa mechi kubwa zaidi katika historia yao ya kandanda itakapomenyana na Bosnia Herzegovina.