Ethiopia washerehekea Mwaka Mpya wa 200011.09.200711 Septemba 2007Wahabeshi kesho Jumatano ndo wanasherehekea millennium ya tatu. Yaani watakuwa wameingia mwaka mpya wa 2000.Nakili kiunganishiMatangazoMwandishi wetu Anaclet Rwegayura kutoka Addis Abeba anatuarifu juu ya shamrashamra zilizoandaliwa kusherehekea mwaka huo mpya.