Etienne Tshisekedi ataka kujiapisha mwenyewe kama rais wa DRC
23 Desemba 2011
Polisi nchini DRC wamepiga marufuku hatua ya kiongozi wa upinzani Etienne Tshisekedi kujiapisha mwenyewe kama rais wa nchi hiyo licha ya kwamba rais Joseph Kabila tayari ameshaapishwa kama rais wa jamhuri hiyo.
Matangazo
Polisi kwa sasa wamezunguka nyumba ya bwana Tchisekedi pamoja na kuzunguka uwanja ambao Tchisekedi anatarajiwa kujiapisha.