1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

EU na EAC kusaini mkataba wa kibiashara

Charles Ngereza6 Mei 2016

Umoja wa Ulaya na Jumuiya ya Afrika Mashariki zinataka kutoa fursa kwa nchi mwanachama kufanya biashara bila vikwazo kutoka upande wowote. Hatua hii inatarajiwa kuuinua uchumi katika EAC.

Kenya bandari ya Mombasa
Picha: Getty Images/AFP/R. Schmidt

[No title]

This browser does not support the audio element.