1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Fahamu kilichojadiliwa kwenye mkutano wa Marais wa Umoja wa Afrika

02:14

This browser does not support the video element.

20 Februari 2023

Umoja wa Afrika umevitaka vikundi vya wapiganaji kutua chini silaha nchini Kongo, unaomba utawala wa kidemokrasia kwenye nchi tatu za Sahel na unaratibu mkutano wa maridhiano ya kitaifa kwa ajili ya Libya. Hayo na mengine ni baadhi ya masuala yaliojadiliwa kwa kina kwenye kikao hicho cha Marais wa Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa, Ethiopia. #Kurunzi

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW