1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Fahamu Mji Mkongwe katikati ya Zanzibar

04:43

This browser does not support the video element.

15 Agosti 2023

Je umetembelea Mji Mkongwe wa visiwani Zanzibar? Ni sehemu yenye utajiri wa utamaduni na historia ya Zanzibar ikiwemo makumbusho yake yanayofahamika kimataifa. Siti Amina , mwimbaji na ambaye pia ni balozi wa utalii wa mji huo anatutembeza katika mji wake. Karibu kwenye Vijana Mubashara, 77Asilimia.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW