1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Fahamu ugonjwa wa kiharusi na tiba yake

03:28

This browser does not support the video element.

20 Septemba 2021

Ugonjwa wa kiharusi au kupooza viungo vya mwili ni miongoni mwa magonjwa yanayotesa watu duniani, zipo sababu mbali mbali kama kuongezeka kwa uzito ,unywaji wa pombe na uvutaji wa sigara na nyinginezo. Kurunzi afya imezungumza na Daktari wa tibamaungo Dr Crese Damas kutoka hospitali ya Taifa ya Muhimbili : anaeleza sababu na namna ya kujikinga na ugonjwa huo.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW