Mwandishi wa DW Kiswahili, Salma Mkalibala aliitembelea familia ya Mzee Hamisi Lada, kijiji cha Nanyanga, halmashauri ya wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara, Kusini mwa Tanzania, inayoinaishi na nyuki ndani ya nyumba yao kwa zaidi ya miaka 18.Sikiliza kisa na mkasa...#Kurunzi