Fahamu changamoto zinazoweza kuipata familia wakati huu wa janga la corona ambapo kuna wazazi waliolazimika kufanyia kazi nyumbani huku watoto nao wakiwa nyumbani baada ya shule kufungwa. Msikilize mtaalamu wa Saikolojia kutoka Tanzania Dr. Chris Mauki, akilizungumzia hili. Video na Yakub Talib #Kurunzi 13.0502020