SanaaFasihi na sanaa ya barabarani02:37This browser does not support the video element.Sanaa04.08.20204 Agosti 2020Umeshayaona mafumbo na maneno mbalimbali kwenye magari au pikipiki, pamoja na michoro kadhaa. Yote hayo ni sanaa ya aina yake. Kutana na baadhi ya vijana ambao wanaendeleza sanaa hiyo visiwani Zanzibar nchini TanzaniaNakili kiunganishiMatangazo