JamiiFatema:Nitapambania afya ya jamii yangu03:27This browser does not support the video element.Jamii08.02.20238 Februari 2023Fatema Juma mwanamke alinaepambania afya ya jamii kwa kutoa elimu ya lishe na mazoezi ili kupunguza uzito uliopitiliza.Ameamua kujikita katika hilo kutokana na yeye kuwahi kukumbwa na tatizo hilo ambalo lilileta athari kwa familia yake.Tazama videoNakili kiunganishiMatangazo