Fatou Bensouda autetea utendaji kazi wa ICCElizabeth Shoo28.01.201628 Januari 2016Miaka 13 tangu kuanzishwa ICC, dola bilioni 1 zimetumika na hukumu mbili tu zimetolewa. Mahakama ya ICC ina mashiko? Mwendesha mashitaka mkuu amezungumza na DW. Tazama mahojiano kwa lugha ya Kiingereza.Nakili kiunganishiPicha: DWMatangazoFatou Bensouda atetea utendaji wa ICC01:25This browser does not support the video element.