1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

FBI yakanusha tuhuma za Trump dhidi ya Obama

02:27

This browser does not support the video element.

6 Machi 2017

Mkurugenzi wa FBI James Comey amekanusha madai yaliotolewa na Rais Donald Trump kuwa Rais Obama aliagiza udukuzi ufanyike kwenye jengo lake la Trump Tower wakati wa uchaguzi. Ujerumani imekasirishwa na matamshi ya rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan kuilinganisha na utawala wa kinazi. Na viongozi wa Amerika Kusini wamemkumbuka rais wa zamani wa Venezuela Hugo Chavez.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW