Francophonie yasimamisha uanachama wa BurundiElizabeth Shoo08.04.20168 Aprili 2016Jumuiya ya nchi zinazozungumza Kifaransa imefikia uamuzi huo kufuatia kudorora kwa hali ya usalama na ukiukwaji wa haki za binadamu. Aidha, inataka kushinikiza serikali ijadiliane na wapinzani.Nakili kiunganishiPicha: Getty Images/S. PlattMatangazo[No title]This browser does not support the audio element.