1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Gauff aambukizwa virusi vya corona

19 Julai 2021

Mchezaji tennis chipukizi kutoka Marekani Coco Gauff amejiondoa kutoka kwenye kikosi cha timu yake ya taifa kinachoshiriki Olimpiki baada ya kuambukizwa virusi vya corona.

Tennis Spielerin Cori Gauff USA
Picha: picture-alliance/empics/M. Egerton

Katika taarifa kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter, Gauff amesema, amevunjika moyo ila anatarajia kwamba atakuwa na nafasi nyingi zaidi za kuiwakilisha nchi yake katika miaka ijayo kwenye michezo hiyo.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW