1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

GAZA: Jengo la Umoja wa Mataifa lavamiwa

31 Julai 2006

Wapalestina siku ya Jumapili,walivamia uwanja wa Umoja wa Mataifa wakati wa maandamano ya kupinga mashambulio ya angani ya Israel yaliyoua raia katika kijiji cha Qana nchini Lebanon.Maafisa wa usalama walifyatua risasi hewani kuutawanya umati huo.Waandamanaji walivunja madirisha ya jengo la UNESCO kwa kurusha mawe baada ya kuandamana katika mji wa Gaza.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW