Generali alieliwa na bomu juzi nchini Lebanon azikwa
14 Desemba 2007Matangazo
Mazishi ya generali wa kijeshi wa Lebanon yameanza nje ya mji wa Beirut,wakati nchi hiyo ikiwa katika maombolezo ya kitaifa ya siku moja.Jeneza la marehemu Brigadier Generali Francois Hajj ilipelekwa nyumbani kwake kabala ya kuzikwa.