GENEVA: Watu 10 wafariki katika ajali ya basi17.04.200517 Aprili 2005Nakili kiunganishiMatangazoStesheni za redio nchini Uswissi zimeripoti kuwa hadi watu 10 wamefariki katika ajali ya basi iliyotokea asubuhi ya leo.Ripoti zasema basi hilo lililokuwa na kama abiria 30 lilianguka katika korongo sehemu za milimani.