JamiiGeorge Floyd azikwa Houston01:28This browser does not support the video element.Jamii10.06.202010 Juni 2020Hatimaye George Floyd amezikwa katika mji alikokulia wa Houston. Miito ya haki kuhusiana na kifo chake bado inaendelea. Je unadhani inawezekana kukomesha unyanyasaji dhidi ya watu weusi?Nakili kiunganishiMatangazo