1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ghana: Kampuni ya magari ya Kantaka

3 Desemba 2015

Juhudi za mfanyabiashara mmoja aliyeamua kuiingiza Ghana kwenye soko la Afrika kwa magari zake zinazotengezwa ndani ya nchi

Africa on the Move Pickup der Marke Kantanka
Picha: DW

Think big: Cars "made in Ghana"

03:05

This browser does not support the video element.

Mafuta, dhahabu, na kakao: vitu muhimu kwa uchumi wa Ghana. Kama mataifa mengi ya bara la Afrika, Ghana inategemea zaidi mali ghafi kuingiza fedha za kigeni. Lakini taifa hilo lina mapungufu ya viwanda vya uzalishaji. Malori pamoja na vifaa vinavyohitajika vyote vinahitaji gharama kubwa.