JamiiGhana: Maonesho ya mitindo Accra "Rhythms on da Runway"01:07This browser does not support the video element.Jamii17.12.202117 Desemba 2021Waghana wanapenda mitindo. Licha ya janga la COVID-19 na athari zake kwenye sekta ya mitindo, wanamitindo wengi walipata fursa ya kuonesha ubunifu wao kwenye maonesho yaliyofanyika Accra 2021 kwa jina ‘Rythyms On Da Runway’.Nakili kiunganishiMatangazo