1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Gharama ya demokrasia visiwani Zanzibar

Elizabeth Shoo4 Desemba 2015

Haki ya usalama wa mtu inahakikishwa na Tamko la Haki za Binaadamu la Umoja wa Mataifa. Msimu wa uchaguzi uwadiapo Zanzibar, watu wengi hukhofia usalama wao na kuuliza: mbona demokrasia chungu hivi?

Maandamano Zanzibar
Picha: DW/M. Khelef

[No title]

This browser does not support the audio element.