1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

GHAZNI:Wanamgambo 6 wa taleban wauawa

4 Septemba 2007

Majeshi ya Afghanistan yamefanikiwa kuwaua wanamgambo 16 wa Kitaleban akiwemo kamanda wao inayeaminika alihusika katika utekaji nyara wafanyakazi 23 wa kujitolea wa Korea Kusini mwezi uliyopita.

Mkuu wa Polisi katika jimbo hilo la Ghazni amesema kiongozi huyo aliyeuwa Mullah Mateen inaaminika kwa kushirikiana na kamanda mwengine wa Taliban Mullah Abdullah Jan walikuwa wahusika wakuu katika kisa cha kutekwa wakorea hao.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW