HistoriaAfrikaGobena Dache: Jenerali wa Menelik II wa Ethiopia01:50This browser does not support the video element.HistoriaAfrikaYusra Buwayhid22.02.202122 Februari 2021Gobena Dache alikuwa ni jenerali wa kijeshi aliyemsaidia Mfalme Mkuu wa Ethiopia Menelik wa Pili kukamata maeneo makubwa ya kusini ya kuyaunganisha nchi chini ya utawala mmoja. Lakini uongozi wa jenerali huyo haukumfurahisha kila mtu. Nakili kiunganishiMatangazo