Guterres ataka dunia iisaidie Somalia
8 Machi 2017![Antonio Guterres in Kenia](https://static.dw.com/image/37849909_800.webp)
Matangazo
Guterres ametoa wito huo alipowahutubia waandishi wa habari katika Ikulu ya mjini Nairobi. Naye Rais Uhuru Kenyatta amekariri kwamba mpango wa kuwahamisha wakimbizi kutoka kwenye kambi za wakimbizi bado utaendelea.