1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

H-Town Kids na kibao cha Sauti Sol, Suzanna

01:35

This browser does not support the video element.

16 Oktoba 2020

Watoto wanaotaka kuwa wasanii na ambao wanajiita 'H-Town Kids' kutoka Huruma mjini Nairobi Kenya waendelea kuvuma.

Kundi hilo linaendelea kujizolea sifa tele hasa katika mtandao wa Instagram kutokana na video zao. Hii hapa ni video yao kuhusu wimbo Suzanna wa bendi ya Sauti Sol. Hebu tizama 

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW