JamiiUjerumaniHadithi ya Manusura wa mateso ya Kinazi06:02This browser does not support the video element.JamiiUjerumaniSylvia Mwehozi21.07.202221 Julai 2022Philomena Franz ni manusura wa mateso ya Kinazi ambaye alipelekwa kambi ya Auschwitz. Licha ya kupitia mateso na udhalilishaji, anasema kwamba "hawezi kuchukia" waliotenda unyama huo. #KurunziUjerumani inamulika hadithi yake. Nakili kiunganishiMatangazo