1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hadithi za Afrika kupitia vibonzo vya Kiafrika

03:33

This browser does not support the video element.

13 Mei 2020

Guardian Prime, Powerboy na Commander Jade ni kati tu ya wahusika katika vitabu vya vikatuni vya Kiafrika. Wanapambana na uovu na kuokoa mji. Ni kazi ya kijana wa Nigeria anayetunga hadithi za Afrika kupitia vibonzo.