Hajj ya mwaka 200606.01.20066 Januari 2006Sheikh Ayub Khamis kutoka Uingereza anazungumzia juu ya hajj na jinsi inavyo waunganisha watu wa tabaka mbali mbali.Nakili kiunganishiMaelfu ya mahujaji wakiizunguka al KabbaPicha: dpaMatangazoSikiliza kipindi cha Mdahalo na Maridhiano kinacho tayarishwa na Abdu Mtullya kutoka idhaa ya kiswahili ya radio D/W.