Haki za Watoto – Kipindi 06 – Huduma za Afya22.03.201122 Machi 2011Kila mtoto anapaswa kupewa fursa ya kuishi maisha ya kuheshimika. Kipindi hiki kinahusu Noma, ugonjwa ambao kwa kiwango kikubwa humzuia mtoto kuwa na maisha mazuri – na ingawa unaweza kuzuiliwa kiurahisi. Tega sikio!Nakili kiunganishiMatangazo