1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ikoje kuhusu uhuru wa habari Uganda?

01:09

This browser does not support the video element.

5 Mei 2020

Uhuru wa habari huwezesha watu kupata habari kamili na kwa njia ya wazi bila kitisho. Vilevile uhuru wa habari ni ishara ya ukomavu wa nchi au serikali kidemokrasia. Lakini je mwanasheria huyu ambaye pia ni mtetezi wa haki za binadamu nchini Uganda anazungumziaje uhuru wa habari nchini mwake?

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW