1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali katika Ukanda wa Gaza

8 Mei 2009

Mwezi Disemba mwaka jana na Januari mwaka huu, Ukanda wa Gaza unaokaliwa na Wapalestina ulishuhudiwa mashambulio kutoka majeshi ya nchi kavu, majini na anga ya Israel.

Uharibifu Ukanda wa GazaPicha: picture alliance / landov

Mamia ya watu, wengi wakiwa watoto na wanawake, waliuwawa, na maelfu kujeruhiwa. Pia Miundo mbinu iliharibiwa vibaya, yakiwemo pia majengo ya jumuiya zenye kutoa misaada ya kiutu.

Mwandishi wa habari Ahmed Rajab tangu siku chache zilizopita yuko katika mji wa Gaza, na Othman Miraji alasiri ya leo alizungumza naye na kumuuliza juu ya sura ilio nayo Ukanda huo hivi sasa.

Mwandishi: Ahmed Rajab

Mhariri: Josephat Charo

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW