Hali nchini Somalia
21 Februari 2007
Matangazo
Mapigano hayo kati ya majeshi ya serikali ya mpito na wanamgambo wa muungano wa mahakama za kiislam yalihusisha makombora ambapo watu 12 wameuawa na wengine akdhaa kujeruhiwa.
Mwandishi wetu Kadra Mohamed anaripoti zaidi kutoka Mogadishu.