Hali ya huduma ya afya nchini Tanzania bado yazorota
2 Julai 2012Matangazo
Sudi Mnette amezungumza na daktari huyo ikiwa siku moja tu baada ya Rais wa taifa hilo, Jakaya Kikwete, kuzungumzia tatizo la mgomo wa madaktari na suluhu yake, na kuwataka madaktari wanaogoma ama warudi kazini au waache kazi.
(Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri: Mohammed Khelef