1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ya Kisiasa visiwani Zanzibar

26 Novemba 2009

Baadhi ya mawaziri wamejitokeza hadharani kupinga uwezekano wa kuwepo Serikali ya Mseto Zanzibar.

Visiwani Zanzibar, siku chache baada ya Rais Karume na Chama kikuu cha upinzani visiwani humo CUF kutangaza hadharani kuzika tofauti zao na kuashiria kuwepo kwa serikali ya mseto, baadhi ya wanasiasa  vigogo  wa chama tawala CCM visiwani wamejitokeza kulipinga wazo hilo, katika kile wengine wanachokiona kuwa  kama ni kupingana na mtazamo wa rais Karume

Hata hivyo wananchi wazipokea kauli  za wanasiasa kwa hisia tofauti, kama anavyoarifu zaidi mwandishi wetu wa Zanzibar Salma Said

Mpitiaji:Aboubakary Liongo

Mhariri:Abdul-Rahman

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW