Hali ya utulivu yarejea DRC22.09.201622 Septemba 2016Kinshasa kumetulia baada ya siku kadhaa za maandamano na mauaji. Wapinzani wanataka Rais Kabila atangaze tarehe ya uchaguzi mkuu. Je, ujumbe umefika? Mchambuzi Paul Mahwera anatoa tathmini yake.Nakili kiunganishiPicha: Getty Images/AFP/J. D. KannahMatangazo[No title]This browser does not support the audio element.