JamiiHali ya wanawake wa DRC Mashariki08.03.20178 Machi 2017Mji wa Beni, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, unakabiliwa na machafuko na mauaji ya raia. Wanawake kushindwa kwenda mashambani na kukwama kwa shughuli za biashara, kumesababisha hali ngumu kwa familia.Nakili kiunganishiPicha: Imago/epd/B. RühlMatangazoJ3 08.02.2017 UN Congo Women - MP3-StereoThis browser does not support the audio element.