1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ya wasiwasi yatanda Burundi kampeni ya urais ikianza Juni 12

Josephat Nyiro Charo11 Juni 2010

Redio moja ya kibinafsi imenyoshewa kidole cha lawama kwa matangazo ya kupalilia chuki

Rais Pierre Nkurunziza wa BurundiPicha: AP

Nchini Burundi uchaguzi unatarajiwa na wanasiasa hasa wa upinzani wanaendelea kulalamika kwamba wanahujumiwa. Kampeni ya kuwania urais inazunguliwa rasmi hapo kesho, Juni 12, huku kukiwa na hali ya wasiwasi kuhusu redio moja ya Burundi inayotangaza taarifa za uchochezi.

Rais wa nchi hiyo, Piere Nkurunziza ndiye mgombea pekee wa urais baada ya wagombea wote wa vyama vya upinzani kujiondoa katika kinyang´anyiro hicho.

Mwandishi wetu kutoka Bujumbura, Hamida Issa, ametutumia taarifa ifuatayo inayosimulia jinsi hali ya kisiasa ilivyo.

Mwandishi, Hamida Issa

Mhariri, Othman Miraji

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW