1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hamburg jiji la madaraja

01:06

This browser does not support the video element.

Sylvia Mwehozi
28 Novemba 2019

Je unafahamu kwamba hakuna mji mwingine duniani ulio na madaraja mengi kama mji wa Kaskazini mwa Ujerumani wa Hamburg?. Hamburg ina jumla ya madaraja 2500, na hivyo kuyapita madaraja yote kwa pamoja katika miji ya Venice, Amsterdam na hata London. Kwa ufupi, Hamburg huitwa mji wa madaraja.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW