1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

HANNOVER: Maonyesho ya Cebit yafunguliwa Ujerumani

14 Machi 2007

Kansela Angela Merkel wa Ujerumani hii leo anafungua maonyesho ya Cebit mjini Hannover, ambayo ni maonyesho makubwa kabisa duniani kuhusika na teknolojia ya kompyuta na mawasiliano.Zaidi ya makampuni 6,000 kutoka nchi 77 yanaonyesha yale yalio mapya katika sekta hiyo.Zaidi ya asilimia 50 ya makampuni yanayoshiriki katika maonyesho hayo ya Cebit, kaskazini mwa Ujerumani yanatoka nchi za ngámbo, mengi yakiwa ni kutoka Taiwan.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW