1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

HANOI: Wapiga kura wachagua bunge nchini Vietnam

20 Mei 2007

Nchini Vietnam hii leo kumefanywa uchaguzi wa bunge.Takriban watu 900 wanagombea kuiniia katika bunge lenye viti 500.Baadhi kubwa yao,ni wa chama tawala pekee cha Kikomunisti.Serikali,imetoa wito kwa raia wote wenye haki ya kupiga kura,kuitumia haki hiyo kuchagua bunge jipya,kwani uchaguzi ni msingi muhimu wa demokrasia.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW