HARARE:Zimbabwe haitaporomoka asema Rais Mugabe
29 Agosti 2007Matangazo
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe anapuuza matabirio kuwa taifa lake linalozongwa na mkwamo wa kiuchumi huenda likaporomoka.Kulingana na kiongozi huyo Uingereza iliyokuwa koloni wake inajaribu kumuondoa madarakani kwa kuiwekea Zimbabwe vikwazo vya kiuchumi.
Rais Mugabe aliyasema hayo alipokuwa akimkaribisha Rais Theodore Obiang Nguema wa Equatorial Guinea iliyo na utajiri mkubwa wa mafuta