Kandanda
Harry Kane kurefusha mkataba Bayern
10 Agosti 2026
Matangazo
Inaarifiwa kuwa huenda Kane akasainimkataba mpya hadi mwaka 2029
Awali ilikuwa inadaiwa kuwa huenda Kaneambaye ameshinda mataji mawili ya Bundesliga na Bayarn, akaondoka na kurejea England ambako alikuwa anatarajiwa kuifukuza rekodi ya ufungaji katika ligi hiyo inayoshikiliwa na Alan Shearer.
Lakini Kane anadaiwa kufurahia maisha yake mjini Bayern na familia inafurahia kuishi mjini humo kwa hiyo haoni sababu ya kuondoka.
Kane kwa misimu miwili mfululizo amekuwa mfungaji bora katika Bundesliga.